Naomba mnisaidie dawa ya mashilingi kichwani

Tprecious

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2018
Posts
256
Reaction score
342
Jamani mtoto wangu anasumbuliwa na mashilingi kichwani tumejaribu baadhi ya dawa zimegoma, naombeni mnisaidie dawa nzuri ya kumtibu hadi yaishe
 
Jamani mtoto wangu anasumbuliwa na mashilingi kichwani tumejaribu baadhi ya dawa zimegoma,naombeni mnisaidie dawa nzuri ya kumtibu hadi yaishe
hiyo ni fungal infection. Nunua anti fungal , to be precise kawaone madaktari, simple to treat!
 
Matatizo ya Afya Mi nakushauri uende tu kwa Wataalam wenyewe kama Zahanati, Duka la Dawa.... Mambo ya kuuliza humu utaambiwa utafuye hadi Machozi ya Samaki yanasaidia.... Mwingine utafute Miguu ya Nyoka inasaidia.... #ushauri_wangu
 
Pole sana mnyoe kipara harafu mpake kibiriti upele ulio changanya na maji ya nyanya.
Nikiwa namaana chukua nyanya ilio iva ikamue yale maji yake changanya na kibiriti upele msugue haswa kichwani hapo akiwa ameshaoga.
Pia epuka kumpaka mafuta kichwani ndani yasiku saba atakua kapona kabisaa.
 
Asante mkuu
 
Kalibu nimeona umeni pm lakini pmyangu inashida kufunguka hivo naujumbe mwingi sana nashindwa kujibu watu ila kwaushauli na msaada chukua namba hapo kwenye picha ya wasifu.
 
Ok nilitaka tu kufahamu iyo huduma tumpatie mara ngap kwa siku?
 
Mtoto wangu alikuwa anasumbuliwa mara kwa mara na mashilingi. Nikampeleka kwa jamaa yangu Daktari (siyo hospital) akaniandikia dawa za kununua. Vidonge na tube y kupaka ambavyo alitumia mwezi mzima asubuhi, na jioni. Sasa hivi amepona kabisa.

Tatizo watu wengi hawakamilishi dose. Fungus wanachukua muda mrefu kupona
 
Dawa zipi hizo zitajee. Ili watu waone na wapate msaada.
 
Back
Top Bottom