Naomba mnisaidie gharama za finishing nyumba kama hii

chidy said

Member
Joined
Oct 20, 2019
Posts
64
Reaction score
123
Naomba wataalam wanisaidie gharama ya finishing nyumba kama hii
 
Kiongozi kua makini na uko PM.ww umeomba muongozo hapa kisha unavyutwa pembeni tena.
 
Hesabu za finishing ni baada ya kukamilisha boma,
Hapo ni kama unazunguka tuu,
Finishing inategemeana na hali ya boma lilivyo,
Limejengwa vipi?
Kuta zimenyooshwa vipi?
Mfumo wa umeme umewekwa vipi?
Sakafu imenyooshwa vipi?
Njia zipi ulitumia kufanya ujenzi?
Fundi wa boma anautaalam mkubwa kiasi gani?
Hapo utapewa hesabu lakini 100% haziwezi kukusaidia lolote lile wakati wa finishing
Mwisho wa yote hesabu ya ujenzi ni site na sio kwenye makaratasi na mitandaoni,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…