Naomba mnisaidie huu mjadala, hivi mwanajeshi anaweza kupata mamlaka, nguvu na heshima kama anayopewa polisi ?

Hapa ni kama unalinganisha daktari na mwalimu kila mtu ana nguvu upande wake. Daktari anaweza kumwambia mke wako vua nguo na akavua na mwalimu anaweza akamwambia mtoto wako lala chini na akalala akatandikwa viboko
 
Polisi Hana ubavu wa kumkamata mwanajeshi
Mwanajeshi anaweza kuwekwa kizuizini na mwanajeshi mwenzie military Police (MP)


Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Jidanganye tu mara ngapi wana wanaenda kuwachomoa ma PTE waliozingua kituo cha Polisi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…