Joseph 44
Member
- Nov 14, 2022
- 49
- 21
Jamani poleni nakazi na mihangaiko ya hapa na pale wakuu. Kama nilivyosema mimi ni mpenzi wa games sasa kuna gaming pc nimeipata mshikaji anaiuza hana hela kaishiwa ina graphic card aina ya GTX 1650 4 GB sasa nilikuwa nauliza hii gaming pc inaweza kucheza magame ya ps5 Maana hamu yangu ni kucheza game za ps 5 na changamoto nikuwa ps5 inabei ghari sana na hii pc ya mshikaji inabei nafuu kwakuwa anashida na hela nimeona niichukue pengine nitakata kiu ya ps5 sasa naombeni mnishauli je ni kweli kabla sijainunua nisije nikaingia mkenge Maana Sina ujuzi na mambo ya gaming pc kwenu wakuuu 🙏