Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haahaha tumsamehe.ana.jini.mahaba lolaiseehh ..
ama kweli kusoma kuelewa...
kukesha mbwembwe....
[emoji23] [emoji23] pole..Huwezi amini nimetoka kapa na hapa nimeloweka miguu kwenye maji
Ubora wa elimu umeshuka pia unategemea nini. Tatizo na upepo umetupeleka kufuatilia quantitative badala ya qualitative measures kwenye kuangalia ubora wa elimu nchini. Jana mkuu wa kaya nilimsamehe kwa kuwa sio speciality yake alipoanza kusema na shule za maeneo Fulani sio za private zimeshika nafasi ya kwanza. Anyway swali la kujiuliza competencies and qualities za hao graduates as compared to 1990's are still the same or not.jf niliyoikuta 2010 iko tofauti na ya 2016