Naomba mnisamehe kwa matusi niliyowatukana sio mimi ni mahaba

Naomba mnisamehe kwa matusi niliyowatukana sio mimi ni mahaba

Kuna wazazi wako humu wajomba mashangazi wote umewatukana sababu ya nyapu?
 
Wewe ni Ke au Me? Kwa uzoefu wangu Ke ndio wanatukana sana wakiwa kwenye huo mchezo.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nenda tena...
 
Back
Top Bottom