katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,124
- 5,745
- Thread starter
- #21
Sichongei mtu ila wao ndio wananichongea kwa wivu.Omba tena kazi halafu acha kujipendekeza kwa mabosi na kuchongea wenzako ili waonekane hawafai,utakaa salama na kwa muda mrefu kazini,swala kuajiriwa au kujiajiri liko wazi kua kujiajiri ni bora zaidi ya utumwa,ajira nzuri ni kilimo
Bossy kwa bidii nauchapa kazi ndio ananipenda gafla kwa sababu ya utendaji wangu wa kazi ni mzuri unamfurahisha nimchongee mtu ili nipate nini so usilolijua nakuparamia tu mtu ndio utaishia kuabika.