Naomba mnishauri

Naomba mnishauri

Omba tena kazi halafu acha kujipendekeza kwa mabosi na kuchongea wenzako ili waonekane hawafai,utakaa salama na kwa muda mrefu kazini,swala kuajiriwa au kujiajiri liko wazi kua kujiajiri ni bora zaidi ya utumwa,ajira nzuri ni kilimo
Sichongei mtu ila wao ndio wananichongea kwa wivu.
Bossy kwa bidii nauchapa kazi ndio ananipenda gafla kwa sababu ya utendaji wangu wa kazi ni mzuri unamfurahisha nimchongee mtu ili nipate nini so usilolijua nakuparamia tu mtu ndio utaishia kuabika.
 
Mimi ni mtumishi nina uzoefu wa maofisini mkubwa na nina wajua watu...kwa mfano mfanya kazi wa bidii na heshima wala hawezi kusema kua "MIMI NINAFANYA SANA KAZI" yaani kwamba wewe ndo bora kuliko wengine wote kitu ambacho si kweli,so kwa kauli zako tu unaonyesha wazi wewe una tatizo

Ujiajiri wakati huu wa Magufuli? Inahitaji kujitoa sana,biashara zinaenda vibaya awamu hii...waajiriwa serikalini awamu hii ndo kidogo afadhali ipo
 
Na mtu mwenye uzoefu wa maofisini hajisifii kuwa ANAWAJUA WATU WENGI kauli zako tu zinazoonyesha kuwa wewe ni una matatizo sema wameamua tu kukuvumilia .
 
Ujiajiri wakati huu wa Magufuli? Inahitaji kujitoa sana,biashara zinaenda vibaya awamu hii...waajiriwa serikalini awamu hii ndo kidogo afadhali ipo
Asantee sana jamani napenda watu wenye msaada kama wewe wana msaada wengine majunguu sana ukiomba msaada ndio umewaambia wakutukane wakudhihaki .
Wakujibu vibaya ndio maana huku sikogi sana naenda kwa watu nje ya hapa kuomba msaada
 
Mimi ni mtumishi nina uzoefu wa maofisini mkubwa na nina wajua watu...kwa mfano mfanya kazi wa bidii na heshima wala hawezi kusema kua "MIMI NINAFANYA SANA KAZI" yaani kwamba wewe ndo bora kuliko wengine wote kitu ambacho si kweli,so kwa kauli zako tu unaonyesha wazi wewe una tatizo
Kama wewe ni mtumishi mzoefu watu wenye kujitambua hawajigambi wanapiga kimya tu.
 
Hapo ndo umejijibu sasa..kupendwa na boss wako we uje utuambie kua una bidii ya kazi kuliko wengine,bidii ya kazi haimpi mtu kujigamba isipokua itainekana tu, sasa umekuja na maneno humu kua wewe unafanya sana kazi,ungelezea mada yako vingine na ungeeleweka kuliko kujimwambafai uongo..inawezekana wewe ni kijana mdogo sana na hujielewi
 
Wewe utakuwa msukuma au muhaya .
 
Back
Top Bottom