katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,124
- 5,745
- Thread starter
-
- #21
Sichongei mtu ila wao ndio wananichongea kwa wivu.Omba tena kazi halafu acha kujipendekeza kwa mabosi na kuchongea wenzako ili waonekane hawafai,utakaa salama na kwa muda mrefu kazini,swala kuajiriwa au kujiajiri liko wazi kua kujiajiri ni bora zaidi ya utumwa,ajira nzuri ni kilimo
Yupi huyoo halafuu kumbe unanijua vizuri sana kushinda mimi mbona hujacomment chochote and then kijana namtoto wakike au wakiume.Acha uongo umeolewa lini wakati ulizalishwa na jamaa akakukacha.
Sichongei mtu ila wao ndio wananichongea kwa wivu.
Bossy kwa bidii nauchapa kazi ndio ananipenda gafla kwa sababu ya utendaji wangu wa kazi ni mzuri unamfurahisha nimchongee mtu ili nipate nini so usilolijua nakuparamia tu mtu ndio utaishia kuabika.
Haitadhuru, kila kitu si makubaliano tu?Nimeolewa sasa
Acha uongo umeolewa lini wakati ulizalishwa na jamaa akakukacha.
Sio ugomvi kuna uzi alileta kulalamika kuhusu hilo jambo ndio maana nimemkumbusha.Kwani tabia ya ugomvi umeanza lini?
Na mtu mwenye uzoefu wa maofisini hajisifii kuwa ANAWAJUA WATU WENGI kauli zako tu zinazoonyesha kuwa wewe ni una matatizo sema wameamua tu kukuvumilia .Mimi ni mtumishi nina uzoefu wa maofisini mkubwa na nina wajua watu...kwa mfano mfanya kazi wa bidii na heshima wala hawezi kusema kua "MIMI NINAFANYA SANA KAZI" yaani kwamba wewe ndo bora kuliko wengine wote kitu ambacho si kweli,so kwa kauli zako tu unaonyesha wazi wewe una tatizo
Asantee sana jamani napenda watu wenye msaada kama wewe wana msaada wengine majunguu sana ukiomba msaada ndio umewaambia wakutukane wakudhihaki .Ujiajiri wakati huu wa Magufuli? Inahitaji kujitoa sana,biashara zinaenda vibaya awamu hii...waajiriwa serikalini awamu hii ndo kidogo afadhali ipo
Kwa hiyo kila uzi ni mimi nashida ushindwe na siachwi ng'oSio ugomvi kuna uzi alileta kulalamika kuhusu hilo jambo ndio maana nimemkumbusha.
Hisia gani??Haitadhuru, kila kitu si makubaliano tu?
Sijawah kukuona lkn kupitia post zako napata hisia flan hv
Kama wewe ni mtumishi mzoefu watu wenye kujitambua hawajigambi wanapiga kimya tu.Mimi ni mtumishi nina uzoefu wa maofisini mkubwa na nina wajua watu...kwa mfano mfanya kazi wa bidii na heshima wala hawezi kusema kua "MIMI NINAFANYA SANA KAZI" yaani kwamba wewe ndo bora kuliko wengine wote kitu ambacho si kweli,so kwa kauli zako tu unaonyesha wazi wewe una tatizo
Hapo ndo umejijibu sasa..kupendwa na boss wako we uje utuambie kua una bidii ya kazi kuliko wengine,bidii ya kazi haimpi mtu kujigamba isipokua itainekana tu, sasa umekuja na maneno humu kua wewe unafanya sana kazi,ungelezea mada yako vingine na ungeeleweka kuliko kujimwambafai uongo..inawezekana wewe ni kijana mdogo sana na hujielewiKama wewe ni mtumishi mzoefu watu wenye kujitambua hawajigambi wanapiga kimya tu.
Wewe utakuwa msukuma au muhaya .Hapo ndo umejijibu sasa..kupendwa na boss wako we uje utuambie kua una bidii ya kazi kuliko wengine,bidii ya kazi haimpi mtu kujigamba isipokua itainekana tu, sasa umekuja na maneno humu kua wewe unafanya sana kazi,ungelezea mada yako vingine na ungeeleweka kuliko kujimwambafai uongo..inawezekana wewe ni kijana mdogo sana na hujielewi