NAOMBA MNIWEKEE GAWIO LANGU LA SAMIA INFRASTRUCTURE BOND

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
1,289
Reaction score
2,199
Naomba mniwekee gawio langu. Mimi niliwekeza nikiwa na malengo yangu. Kunicheleweshea gawio langu linakwamiswha mambo yangu ya msingi. Utaratibu ulikuwa ni kuwa gawio lainawekwa kila baada ya miezi mitatu.
 
Moderators Wana kazi kweli kweli. Tuwaombee. Maana hii ndiyo mida ya misukosuko kwa JF
 
Naomba mniwekee gawio langu. Mimi niliwekeza nikiwa na malengo yangu. Kunicheleweshea gawio langu linakwamiswha mambo yangu ya msingi. Utaratibu ulikuwa ni kuwa gawio lainawekwa kila baada ya miezi mitatu.
Ndugu si uende bank husika ukaukize wakuelekezeπŸ™„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…