Naomba Mrejeshi wa Matokeo ya Uchunguzi unaofanywa na Serikali Dhidi Ya Kampuni ya Qnet

Naomba Mrejeshi wa Matokeo ya Uchunguzi unaofanywa na Serikali Dhidi Ya Kampuni ya Qnet

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
4,274
Reaction score
9,326
Moderator tafadhali rekebisha kichwa cha habari isomeke Mrejesho badala ya Mrejeshi.

Ni muda umepita sasa tokea taarifa za kuanza kwa uchunguzi dhidi ya Kampuni ya Qnet zitolewe.

Aliye na mrejesho atujuze kwani bado tuna machungu makubwa na hela zenu tulizokopa na kuamua kuwekeza tukiamini tutapata mafanikio makubwa.

Aksanteni sana.
 
Nimengua haraka uzi nikajua unaulizia taarifa ya matokeo ya ukaguzi maalum ( Investigation) sijui uchunguzi kwa fedha zote zilizotolewa kwa kuanzia kipindi cha mwezi Januari 2021 hadi Marchi 2021 kumbe unaulizia jambo lingine.

Haya subiri watakuja kukujibu.
 
Aisee no response toka December 31 2020. Au watu walikuwa kwa mkesha..? Anyway si walisema hazitarudishwa.
 
Back
Top Bottom