Hermanx
Senior Member
- Sep 22, 2022
- 116
- 275
Monthly payment mkuuHabari boss, hebu nieleweshe zaidi nijue kabisa ninunue Tigo au vp. Hizo bei ni one-time payments au ni monthly payments?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Monthly payment mkuuHabari boss, hebu nieleweshe zaidi nijue kabisa ninunue Tigo au vp. Hizo bei ni one-time payments au ni monthly payments?
Shukran kiongozi. Inabidi sasa nisajili Tigo maana hizo bei ni cheap ukilinganisha na bei ya kawaida ya 1GBMonthly payment mkuu
KaribuuuShukran kiongozi. Inabidi sasa nisajili Tigo maana hizo bei ni cheap ukilinganisha na bei ya kawaida ya 1GB
30mbps ni 120k 5G na sio 126k bossNimeona mkuu. Naona speed iko chini kuliko bei unayolipia. Kwa 126k Vodacom itakuwa ulilipia 30Mbps lakini naona hapo unapata 17.5Mps.