Naomba mrejesho Wangapi walipona na wamefanikiwa baada ya Mkesha wa Ijumaa iliyopita Afrika Mashariki?

Naomba mrejesho Wangapi walipona na wamefanikiwa baada ya Mkesha wa Ijumaa iliyopita Afrika Mashariki?

nimeona tangazo humu watu wanamtafuta baba yao
Usiku wa mkesha wengine waliaga wanaenda mkesha kumbe wanaenda kwa mahawara zao

Mwamposya asisingiziwe

Si kila asemaye Bwana Bwana ni wa Mungu ni si kila asemaye naenda mkesha kwa Mwamposa huenda

Hao watafute tu huyo baba yao kupitia tu njia za kawaida za utafutaji iwe kupitia polisi,matangazo nk
 
Ugumu wa Maisha umepelekea watu kurukwa na akili. Wajinga acha waliwe
Unadhani wote waenda pale wana ugumu wa maisha? Siku za ibada kupata sehemu ya kupaki gari shida .Watu wanakuja magari private ya mamilioni kuanzia 100 kwenda mbele sadaka akitoa kiwango cha chini milioni moja

Hadi mama Samia mwenyewe hupeleka sadaka kwa Mwamposa ana ugumu gani wa maisha? Au Chalamila mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ana ugumu gani wa maisha au Paul Makonda
Kanisa kujua watu wanaosali pale wa aina gani kaangalie eneo la kupaki magari watu wakiwa ibadani
 
Kuna Dereva Bodaboda Rafiki yangu kasema Yeye kuanzia Saa 5 Usiku hadi Saa 11 Alfajiri alikaza Mademu tofauti Saba.
Ndio maana hadi leo ni.maskini huyo bodaboda hajanunua Hiace yuko tu na bodaboda

Huo muda angeutumia kufanya biashara ya bodaboda angekuwa mbali

Kaishia tu kuning'inia kwenye vifua vya malaya
Badala ya kutafuta pesa anatafuta malaya Hajui agenda yake ya maisha kuwa kazi yake nini
Masaa sita yote anahangaika na malaya badala ya kufanya biashara ya bodaboda

Umaskini unamuita
 
Back
Top Bottom