Naomba mrejesho Wangapi walipona na wamefanikiwa baada ya Mkesha wa Ijumaa iliyopita Afrika Mashariki?

Watetezi wa Mchawi wa Kiimani mmekuja. Karibuni.
 
Watetezi wa Mchawi wa Kiimani mmekuja. Karibuni.
 
Tunajua biashara za hao watu.....ni waganga ila wanaotumia msalaba
 
UGUMU WA MAISHA NI KUTOKANA NA UTAWALA MBOVU ULIOPO.
UWEPO WA HAWA WATU UNAFANYA ZOEZI LA KULETA MABADIRIKO KUWA GUMU ZAIDI (NA NDIO FURAHA YA CCM NA MACHAWA WAO).
WALIO PIGANIA UHURU WALIJITOA WAO, SIO KUKESHA KUSALI!
SASA UGUMU WA MAISHA UNATAFUNA WALIO WENGI,UNATUFANYA, TUAMINI CHOCHOTE KILE CHENYE KUTUTAJIRISHA.
TUNATAMANI UTAJIRI WA KUJA KAMA CHAFYA!

NA NDIO MAANA KUNA;
WATEJA WENGI WA WAGANGA WA KIENYEJI
WATEJA WENGI WA KUCHEZA KAMARI/BETTING
WATEJA WENGI WA MITUME NA MANABII.(MITUME NA MANABII WANAOPATIKANA MIJINI TU)
WATEJA WENGI WA PESA ZA KUDOWNLAOD!
 
Uponyaji au muujiza kwani unakujaga haraka haraka hivyo lakini mbona Yesu alikua anaponya papo Kwa hapo? Kweli wakuje watupe ushuhuda hivi waandishi Wa habari hawakuwepo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…