GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #41
Hata Mimi Mkuu. Watakuja tu Kumshtukia pale wote wakiwa Masikini maradufu katika Maisha yao Siku si nyingi Mkuu.Namkubali sana Mwamposa kwasababu anajua kucheza na akili za wajinga na kuwapiga
Duuh😳,. Na wahusika hawachukui hatua yani wapo tunimeona tangazo humu watu wanamtafuta baba yao
Em kua serious basi😂😂😂Kuna Dereva Bodaboda Rafiki yangu kasema Yeye kuanzia Saa 5 Usiku hadi Saa 11 Alfajiri alikaza Mademu tofauti Saba.
Uliniuliza kama bado nipo Uganda na Askari wa Museveni au bado jibu lako ni kwamba siko tu Jeshini Uganda bali pia nipo Ikulu yao kama Mtendaji na bahati nzuri hata Rais wako Samia ameshafahamishwa juu ya uwepo wangu hapa Uganda na Kazi kubwa ya Kuiheshimisha Tanzania yako / yetu kuanzia mwaka huu 2024 hadi April 2026.Sasa nipewe Ban mimi sina matusi wala situkani watu hovyo.
Vipi wale Wanajeshi wa Mseven bado uko nao.
Hao ni Malaya wenzao waliokuwa wanawinda wateja,wenye Mungu ndani yao hawawezi Fanya huo ujingaNinachojua wale Waliobakwa hasa kule Mabondeni kama unaelekea Baharini ni wengi na Walioambukizwa UKIMWI pia.
Uwe unakumbuka ulichoandika thread zilizopita tena leo leo.unajiabisha dogo.Acha kupenda sifa usizo stahili.Uliniuliza kama bado nipo Uganda na Askari wa Museveni au bado jibu lako ni kwamba siko tu Jeshini Uganda bali pia nipo Ikulu yao kama Mtendaji na bahati nzuri hata Rais wako Samia ameshafahamishwa juu ya uwepo wangu hapa Uganda na Kazi kubwa ya Kuiheshimisha Tanzania yako / yetu kuanzia mwaka huu 2024 hadi April 2026.
Kuna Watu mnadhani mnavyomjua GENTAMYCINE hapa JF au mlivyomjua miaka hiyo basi ndiyo Yule Yule na ndiyo maana Kutwa huwa nawaambia kuwa acheni Kukariri kwani Mwenyezi Mungu ambaye nampenda nae ananipenda mno amenifanyia Maajabu makubwa katika Maisha yangu na ndiyo maana Asante yangu huwa nasaidia Wengine.
Jitahidi nawe uje kuwa na Hadhi ya VVIP ambayo ninayo. Jiulize Mimi ni Mtanzania kwanini nipo Ikulu ya hapa Uganda?Uwe unakumbuka ulichoandika thread zilizopita tena leo leo.unajiabisha dogo.Acha kupenda sifa usizo stahili.
Labda hadhi ya ZZIP ndio unayoJitahidi nawe uje kuwa na Hadhi ya VVIP ambayo ninayo. Jiulize Mimi ni Mtanzania kwanini nipo Ikulu ya hapa Uganda?
Chuki, Wivu na Ushamba vitakumaliza. GENTAMYCINE yule uliyemjua Wewe au uliyeambiwa siyo huyu wa sasa 2024 sawa?
Nilisema mimi kwenye comments,.tunaoona kwa macho mengine tulisema this is kafara time. Time.to upgrade to new level.nimeona tangazo humu watu wanamtafuta baba yao
Mkuu GENTAMYCINE usije kuwa huyo boda boda ndio wewe mwenyewe?Kuna Dereva Bodaboda kasema Kakaza Mademu Saba na Wanane alitaka Kumjaribu ila ikamgomea Kusimama.