Jamani wadau wa elimu mwenzenu yamenikuta naombeni mnisaidie nimeaply mkopo kwenye bodi ya mikopo online
lakini nimefika sehemu naambia kujaza index namba ya form six nami sijasoma form six naingia kwa diploma. Je nitafanyaje? mwenye ufahamu anisaidie