Naomba msaaba loan board

Naomba msaaba loan board

hendeboy

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
218
Reaction score
21
Jamani wadau wa elimu mwenzenu yamenikuta naombeni mnisaidie nimeaply mkopo kwenye bodi ya mikopo online
lakini nimefika sehemu naambia kujaza index namba ya form six nami sijasoma form six naingia kwa diploma. Je nitafanyaje? mwenye ufahamu anisaidie
 
Umeingia link ambyo haikuhusu tafuta link yako acha uvivu
 
kwaiyo kumbe kuna link ya diploma?? Je kwa mtu kama mimi ambae nmemaliza 4m 4 na 4m 6 n then diploma nafanyaje???? Plz naomba kueleweshwa tafadhari.
 
Back
Top Bottom