Naomba msaada bila kutukanwa

Naomba msaada bila kutukanwa

mtamusana

Member
Joined
Mar 17, 2015
Posts
75
Reaction score
10
Nataka kuacha homosexually mimi ni gay, japo sijulikani naomba dawa ya kuacha kimya kimya kama nilivyokua sijulikani. Nilipotimia teenage nilianza kuwashwa automatically bila influence ya mtu au kitu nikajikuta nimeingia.

Sasa nataka kustaafu ila mchezo umekolea. Je kuna dawa ya kuondoa maradhi ya ushoga? Nipo serious, hebu fanyeni kama limeshatokea, sasa nipeni njia ili niache.

Kuna mmoja alinambia nina homones nyingi sana za kike, nilimuuliza umejuae hayo?
Akanijibu hivi ifuatavyo;

1. Wewe mzuri sio hendsam.

2. una macho yakuvutia sana wakati wewe mwanaume.

3. Umbile lako lina vutia sana chini.

Jamani kuambiwa Hiyvo niliangua kilio.

NB: Ushauri tu nachukua, matusi sio mazuri
 
Kwakuwa umeamua,mwombe sana mungu atakusahia.Pia jitahd sana kukaa vijiwe vya masela wa ukweli wakupe michongo ya kazi ngumu kama kuchimba mitaro,kubeba zege na kufanya mazoezi,kula vyakula vya kuongeza nguvu za kiume ili upate demu upige papuchi haswa,i hope utaenjoy papuch kuliko unavyoenjoy hiyo kitu yako.
Hasikwambie mtu papuchi ni entertaiment kuliko ata mieleka,nadhan you will do it well.Allaah boy
 
asante sana. ila papuchi ndo nini
 
Kwa sifa ulizopewa je unazo?

ndio nilupokua nina miaka 16 -20 nikua napata marafiki wengi sana . kila watu wananipenda . kila mtu anajipendekeza. shule nilikuwa napendwa sana na walimu. na sifa hizo nishapewa sana na watu takriban wengi.
 
Muombe mungu pia acha kukaa vijiwe vya kike nenda kwa wanaume wenzako
 
Basis jichanganye na wakiume wenzako pia kaza sauti yako kifpi jitofautishe na wakke
 
kama huna cha kunishauri ni vizuri ukae kimya.

wewe naona unatuchosha tu hapa

kwanza kama ungekua unatakankupata msaada usingejiita MTAMUSANA
pili unacomentig mara kibao kwamba shughuli unaipenda

tatu unajisifiaga mwenyewe mara kibao kwenye nyuzi

HILI NI TANGAZO WEWE BWABWA

maana kama ungekuwa unahitaji msaada usingekiita MTAMSANA

peleka ma.vii mbele laanatullah........
 
kumbe nawewe umemshtukia eh hua anasemaga anapenda na kusifia ushoga sasa kaamua ajitangaze kama yupo na anauza
 
1.Anza kubadili ID yako,
2.Mungu ndo mweza ya yote,
3.dushe lako lina fanya kazi (linadinda)?????
4.ukimuona mwanamke unajisikaje?
5.una boyfriend?
6.Mrudie tu Mungu atakusaidia maana hakuna namna nyingine tena

Hayo maswali niliyokuuliza ukiyajibu vizuri, unaweza pata dawa ya kupunguza hako katabia kachafu
 
Back
Top Bottom