Usitupotezee Muda. You don't seem Serious, Naona kama unajinadi... Unaonekana ku enjoy unachokifanya.
Kubadilika kuna Gharama kubwa Sana, ndio maana sio wote waliopenda kubadilika wamefanikiwa kufanya hivyo.
ILi uache hicho unachofanyiwa sasa, kwanza unatakiwa ukichukie, How do you Feel mnapomaliza kufanya hilo tenda? Kama huwa unajilaumu, basi may be you stand a Chance to Change, iLa kama kila unapomaliza kufanyiwa hilo jambo unachekelea, ama ku enjoy kwa namna yeyote ile... Then It's little bit hard for you to change.
Kuna Gharama ya mabadiliko. Wewe kufanikiwa kuimudu hiyo gharama kwanza hitaji lazi.a litoke DEEP FROM YOUR HEART.
Otherwise, utakuwa unajinadi tuu mbele za watu, kutafuta zaidi wa aina yako.
It begins with you. Same way it started with you.