Naomba msaada bila kutukanwa

Naomba msaada bila kutukanwa

Usitupotezee Muda. You don't seem Serious, Naona kama unajinadi... Unaonekana ku enjoy unachokifanya.

Kubadilika kuna Gharama kubwa Sana, ndio maana sio wote waliopenda kubadilika wamefanikiwa kufanya hivyo.

ILi uache hicho unachofanyiwa sasa, kwanza unatakiwa ukichukie, How do you Feel mnapomaliza kufanya hilo tenda? Kama huwa unajilaumu, basi may be you stand a Chance to Change, iLa kama kila unapomaliza kufanyiwa hilo jambo unachekelea, ama ku enjoy kwa namna yeyote ile... Then It's little bit hard for you to change.

Kuna Gharama ya mabadiliko. Wewe kufanikiwa kuimudu hiyo gharama kwanza hitaji lazi.a litoke DEEP FROM YOUR HEART.

Otherwise, utakuwa unajinadi tuu mbele za watu, kutafuta zaidi wa aina yako.

It begins with you. Same way it started with you.
 
1.Anza kubadili ID yako,
2.Mungu ndo mweza ya yote,
3.dushe lako lina fanya kazi (linadinda)?????
4.ukimuona mwanamke unajisikaje?
5.una boyfriend?
6.Mrudie tu Mungu atakusaidia maana hakuna namna nyingine tena

Hayo maswali niliyokuuliza ukiyajibu vizuri, unaweza pata dawa ya kupunguza hako katabia kachafu

dude linadinga.

id ntabadilisha

apite mwanamke uchi ata simtizami ila apite mwanaume hensam ntamuota usingizini

boyfriend nlikua nae saivi sina
 
bwabwa hili linatuchosha hili

kaweka tangazo

sema tu ni ngumu ku trace reply zake katika nyuzi mbalimbali lakini amekua akijisia shughuli anaiweza na blah blah za kishoga

ETI HAPA ANAOMBA USHAURI SI KUTUCHOSHA TU NA K

toa ushauri acha propaganda
 
ahahahahahaha!mi nalionea huruma kumbe hua linajisifu?sijawahi kukutana nalo aisee!

Sio unalionea huruma, kwani huruma yako yamfaa nini kama haupo sincere regardless ya ushoga wake.
Kijana mtamusana kama unahisi hali hiyo si sawa then kweli si sawa. Ugumu wa hali hiyo unaijua mwenyewe. Wewe na akili na nafsi yako ndio mnaweza kutatua yanayokusibu. Unachotafuta kwa watu sio sympathy bali encouragement. Binadamu waone hivyo hivyo, they are incapable of helping anybody let alone themselves.
Nafsi yako inajua kila kitu kwa usahihi kabisa, itumie hiyo hiyo na utafanikiwa kupata balance unayohitaji kwenye maisha yako.
Anza kuchukua hatua ya kutengeneza mazingira ya nje yatakayokuwezesha kuepuka kuchochea hiyo hali, pia angalia msaada wa kisaikolojia. Na msaada mkubwa zaidi ni wa Kiroho....
 
Last edited by a moderator:

asante
 
Last edited by a moderator:
Sifa uloziweka, jina unalotumia hii inaonyesha huyu jamaa yupo sokoni maana msaada anaohitaji hauna maana na hizo sifa alizotuwekea, pia username inasadifu hisia zake za moyoni. Huyu jamaa social media inayomfaa ni guy spy hapa unatukela Sana download hiyo application utuachie jf tusio htaj huo uchafu.
 
Tubu kwa mungu then mwombe akuumbe upya means utu wa ushoga ukutoke na uvae utu wa uanamme na mcha mungu
 
Kama hutaki USHOGA na umedhamiria kuacha USHOGA dawa nikuacha USHOGA kwa kuwa mbali na tabia za KISHOGA ,vitu vyenye vinakuamshia hisia za kufanya USHOGA kuepukana na jamii za MAZSHOGA ,kifupi kaa mbali na mambo ya KISHOGA utaepukana na tatizo la USHOGA kuanzia na baada ya hapo unapaswa haraka sana kwenda Hospital kwa ajili ya hatua muhimu za kimatibabu , kumbuka mtaalamu wa saikolojia anahitajika sana ili kulimaliza tatizo lako kiakili .Pole.
 
wewe mtamusana wewe mara ngapi tumegongana kwenye nyuzi ukijisifia shughuli unaiweza kuliko sisi

ACHA UFALA WEWE

kuna siku umecoment kwamba umetoka kutoa shughuli hapo ulipo umechoka hujiwezi??????

unakumbuka hii coment??????????

naomba Tyta kama upo online nisaidie kuliabisha hili bwabwa

alafu unasema nitazaa senge kama wewe????

wewe ujazaliwa shoga BALI NJAAA TU ZA MJINI NDO ZINAZOKUSUMBUA

Hii inaitwa makavu live....
 
Last edited by a moderator:
Kama hutaki USHOGA na umedhamiria kuacha USHOGA dawa nikuacha USHOGA kwa kuwa mbali na tabia za KISHOGA ,vitu vyenye vinakuamshia hisia za kufanya USHOGA kuepukana na jamii za MAZSHOGA ,kifupi kaa mbali na mambo ya KISHOGA utaepukana na tatizo la USHOGA kuanzia na baada ya hapo unapaswa haraka sana kwenda Hospital kwa ajili ya hatua muhimu za kimatibabu , kumbuka mtaalamu wa saikolojia anahitajika sana ili kulimaliza tatizo lako kiakili .Pole.

asante sana sasa kwa daktari ntaanzaje manake aibu.
 
lakini mie yamekuja haya mambo automatically sikuwa nina act wala sikupata influence ya mtu. wala mimi sijiuzi mie sina shid ya pesa kwetu zipo. hayo matusi yao sijui yanakuwje

Yakheee acha nao, njoo pm tuongee nikupe njia za kuongeza furaha maishani. Mimi kazi zangu ni kushauri watu kama nyinyi.
 
Back
Top Bottom