Naomba msaada bila kutukanwa

Naomba msaada bila kutukanwa

wewe naona unatuchosha tu hapa

kwanza kama ungekua unatakankupata msaada usingejiita MTAMUSANA
pili unacomentig mara kibao kwamba shughuli unaipenda

tatu unajisifiaga mwenyewe mara kibao kwenye nyuzi

HILI NI TANGAZO WEWE BWABWA

maana kama ungekuwa unahitaji msaada usingekiita MTAMSANA

peleka ma.vii mbele laanatullah........

Mwe kwa hiyo hili ni tangazo.
 
mods wanafutaga threads za maana ila matangazo ya upuuzi yanapewa promo, mnabahati siwaoni asee mngekula kiatu cha kinywa sasa hivi...
mtu anaeomba ushauri haongei upuuzi wa kujisifu tena,
indirect adveerisement....

mimi nishasema nataka ushauri niache watu wanajudge username yangu na profile. iyo username imefunguliwa kabla sijaamua kubadilika.
 
Ni kama nakufahamu wewe,umemsumbua sana mama yako,
kama kweli umeamua kubadilika omba msamaha kwanza kwa mama yako mzazi maana umemsumbua sana.

Pili kuwa mpole usikilize ushauri unaopewa, wa kwanza kubali kwamba utabadilisha hiyo ID yako.
Tatu ukitaka Mungu akusaidie sema ukweli,msema kweli ni mpenzi wa Mungu,
Ushoga ni malezi na wala siyo maumbile,kusema una homone za kike
unataka kuniambia unavaa nguo za kike?
kama jibu ni hapana ulianzaje kutongozwa na wewe ukaingia mkenge? au wewe kwa sababu ya homone zako
ndo ulitongoza wanaume? kama uliwatongoza,hizo siyo homone za kike maana wanawake wa asili hutongozwa na
wala hawatongozi,labda ukiniambia ni homones za kipepo mimi nitakubaliana na wewe.

Nakushauri kaombewe,hilo pepo lazima litakutoka,na hata kama itachukua muda wewe kazana Mungu atakusaidia.
Watafute wachungaji wanaofanya huduma za maombezi.ongea nao watakuombea kisiri wala hawatakutangaza
kama kweli umeamua kubadilika.

sijamsumbua mama wala marafiki mana hajui mtu kama mie shoga

homones za kike ni swala la ki biologia ktk binadamu. zikiwa nyingi humpelekea mwanaume kuwa na mambo yafuatayo

athari ya umbile la kike, sauti naturaly sio acting, tabia, nk hata wataalamu wa afya wamethibitisha.

kikubwa hapo umenishauri ni maombezi

we sema tu, kuombewa, na asante kwa ushauri
 
aibu kwenye tiba??? unataka kupona wewe?? mbona kuwavulia nguo wanaume wenzako huoni aibu

mwanaume anaenivua nguo hakai tz . ni mzungu ila daktari mswahili si unajua mara anakutukana
 
Kwani nani ana time na wewe? Unafiki upi unauzungumzia?

Wewe nashangaa unaleta shobo!sijakutag wala sijakuquote nashangaa umekuja mbio na povu lako,kama unafiki wako hujaujua basi pole na endelea kuwa kituko humu ndani

Soma comment ya mtu kabla hujaropoka uharo wako hapa!wote waliochangia mbona hujawajibu ?tuliza mshono maa au na wewe shoga umejificha na ID ya kike?
 
Wewe nashangaa unaleta shobo!sijakutag wala sijakuquote nashangaa umekuja mbio na povu lako,kama unafiki wako hujaujua basi pole na endelea kuwa kituko humu ndani

Hahahaaa,hapa nimeshapata umbea kweupeeee...lol
Hizi ligi raha sana aisee.
 
Wewe nashangaa unaleta shobo!sijakutag wala sijakuquote nashangaa umekuja mbio na povu lako,kama unafiki wako hujaujua basi pole na endelea kuwa kituko humu ndani

Are you okay? Nimekuuliza kwa faida yako si yangu, maana unanishutumu tu bila mpango. Hii ni sehemu huru kabisa kuqoute na kutoa maoni yangu ninavyoona inafaa. Nairudisha pole kwako
 
Pole sana kijana,...nakushauri ukatae hiyo hari toka moyoni kwa jina la Yesu.
 
Are you okay? Nimekuuliza kwa faida yako si yangu, maana unanishutumu tu bila mpango. Hii ni sehemu huru kabisa kuqoute na kutoa maoni yangu ninavyoona inafaa. Nairudisha pole kwako

POLE IRUDI KWAKO MARA BILLION MOJ!Sitaki mazoea na wewe maa mbona unajipendekeza?

Unaona sasa ulivyokua mnafiki!?kama unajua hii n sehemu huru kwa kila mtu kutoa mawazo kwa nini unataka watu wakuballi hoja yako?
Kama unahoja yako changia halafu sepa!!ujuaji wako huko kwenu humu ndani hakuna anayekujua!!

NARUDIA TENA!!SITAKI MAZOEA WEWE.
 
Kwanini unajipa umuhimu usio na maana? Calm down na maisha yaendelee
 
Back
Top Bottom