sio unalionea huruma, kwani huruma yako yamfaa nini kama haupo sincere regardless ya ushoga wake.
Kijana
mtamusana kama unahisi hali hiyo si sawa then kweli si sawa. Ugumu wa hali hiyo unaijua mwenyewe. Wewe na akili na nafsi yako ndio mnaweza kutatua yanayokusibu. Unachotafuta kwa watu sio sympathy bali encouragement. Binadamu waone hivyo hivyo, they are incapable of helping anybody let alone themselves.
Nafsi yako inajua kila kitu kwa usahihi kabisa, itumie hiyo hiyo na utafanikiwa kupata balance unayohitaji kwenye maisha yako.
Anza kuchukua hatua ya kutengeneza mazingira ya nje yatakayokuwezesha kuepuka kuchochea hiyo hali, pia angalia msaada wa kisaikolojia. Na msaada mkubwa zaidi ni wa kiroho....