Nataka kuacha homosexually mimi ni gay, japo sijulikani naomba dawa ya kuacha kimya kimya kama nilivyokua sijulikani. Nilipotimia teenage nilianza kuwashwa automatically bila influence ya mtu au kitu nikajikuta nimeingia.
Sasa nataka kustaafu ila mchezo umekolea. Je kuna dawa ya kuondoa maradhi ya ushoga? Nipo serious, hebu fanyeni kama limeshatokea, sasa nipeni njia ili niache.
Kuna mmoja alinambia nina homones nyingi sana za kike, nilimuuliza umejuae hayo?
Akanijibu hivi ifuatavyo;
1. Wewe mzuri sio hendsam.
2. una macho yakuvutia sana wakati wewe mwanaume.
3. Umbile lako lina vutia sana chini.
Jamani kuambiwa Hiyvo niliangua kilio.
NB: Ushauri tu nachukua, matusi sio mazuri