Strong25
JF-Expert Member
- Dec 6, 2021
- 394
- 834
__nilivaa singlendi nikawa nafanya kazi juani (maeneo hayo jua lilikua linapiga sana coz yalikua maeneo yawazi ) usiku wake mwili ukawa unawasha asubui yake naona mwili umejichora weusi (hio sehemu ya singlendi ningozi yangu halisi__hio ingine nisehemu ilioharibiwa na jua) naomba msaada dawa gani nitumie kuweka sawa ngozi yangu