digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
😂😂😂😂Hapo ushapewa singlendi ya maisha huna haja ya kuvaa za dukani........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂Hapo ushapewa singlendi ya maisha huna haja ya kuvaa za dukani........
#siku moja tu__wengine tunangozi za hovyo sana (mana sikuwaga hivyo kabla ya)
Aisee..#hio ya kichwani kote huko nisehemu ilioathiriwa
Dawa ya nini sasa we mjamaa.__nilivaa singlendi nikawa nafanya kazi juani (maeneo hayo jua lilikua linapiga sana coz yalikua maeneo yawazi ) usiku wake mwili ukawa unawasha asubui yake naona mwili umejichora weusi (hio sehemu ya singlendi ningozi yangu halisi__hio ingine nisehemu ilioharibiwa na jua) naomba msaada dawa gani nitumie kuweka sawa ngozi yanguView attachment 2934149
Ni jambo la kawaida. Kwamba hamjawahi kuona au kuwatokea?Aisee..
Inabidi ukamuone dokta wa ngozi maana hiyo siyo jambo la kawaida
Pole sana Mkuu.
Ultraviolet rays kutoka kwa jua ni kali sana. Usipendelee kukaa juani maana ngozi yako itaharibika zaidi. Kama itabidi, basi tafuta sunscreen kutoka kwenye maduka ya dawa na vipodozi vitakusaidia kupunguza makali ya jua.
Kwa sasa, kuna njia nyingi za kukusaidia.
1. Kwanza jiepushe mbali na jua kali. Ngozi yako baada ya muda itajirudi katika hali yake ya kawaida. Jitahidi sana kuhakikisha ya kuwa mwanga mkali wa jua haswa kuanzia saa 4 huko Dar mpaka saa 11 halikupigi moja kwa moja. Inaweza kuchukua muda lakini utapona.
2. Zipo sabuni za kuogea. Mfano kojic acid soap. Unaweza kumtembelea binti mmoja kwa jina la Niffer, nadhani anauza. Ama duka linalouza vipodozi genuine lililo karibu nawe. Hata hivyo, sabuni hiyo yaweza kukung'arisha. Kama hupendelei basi tumia ukishaona hupend matokeo yake acha..
3. Tumia dawa ya kupaka (inaweza kuwa cream, ya maji, ama vidonge(Isotretinoin,acitretin) yenye retinoid. Hii unapakaa maeneo ambayo yameathirika. Huko mabegani kwako na mikononi karibia na makwapani, nk. Kama ni vidonge, utapewa kulingana na umri nk.
Kuna njia zingine ila nadhani huko hazipo. Ila jambo lako siyo serious sana. Utapona kwa wakati.
Kama jua ni la siku moja basi tambua ngozi yako ni very sensitive.
Inawakuta watu wengi unakuta sehemu unayofunika muda wote ambayo haipigwi jua ni nyeupe kuliko ambayo ipo wazi.Ww ushawai kukukuta..?
Inawakuta watu wengi unakuta sehemu unayofunika muda wote ambayo haipigwi jua ni nyeupe kuliko ambayo ipo wazi.
Labda tu wewe ngozi yako ipo sensitive zaidi kutokea hivyo kwa siku moja.
Itarudi normal bila dawa yoyote. Ni madhara ya jua kali
Huwa inaisha yenyewe ipe wiki kadhaa ni hali ya kawaida tu hiyo haina haja ya madawa.__nilivaa singlendi nikawa nafanya kazi juani (maeneo hayo jua lilikua linapiga sana coz yalikua maeneo yawazi ) usiku wake mwili ukawa unawasha asubui yake naona mwili umejichora weusi (hio sehemu ya singlendi ningozi yangu halisi__hio ingine nisehemu ilioharibiwa na jua) naomba msaada dawa gani nitumie kuweka sawa ngozi yanguView attachment 2934149
Elimu Elimu Elimu hivi unavaaje nguo ya wazi unaenda juani aisee umepata skin burn sababu ya mionzi ya jua wabongo sijui niseme wa Africa hatuogopi jua wenzetu lazima apakae sun protection sunscreen [emoji3467] usoni mwilini.
Endelea kujiweka juani soon skin cancer inakuita.
Ukivaa nguo ya kufunika kama ambavyo umezoea siku zote utarudi kuwa sawa.Kwamba baada yamuda itakaa sawa ama unamaanisha watu wengi huwatokea hiyo hali..?
Melanin deposition matters , dark skin tuna kiwango kikubwa cha melanin kwenye ngozi hivyo hatuna haja ya kuogopa demage inayotokana na mionzi ya jua contrast to caucassians .Elimu Elimu Elimu hivi unavaaje nguo ya wazi unaenda juani aisee umepata skin burn sababu ya mionzi ya jua wabongo sijui niseme wa Africa hatuogopi jua wenzetu lazima apakae sun protection sunscreen 🧴 usoni mwilini.
Endelea kujiweka juani soon skin cancer inakuita.
Acha kuvaa vest peke yake juani. Funika mwili woteAu niache kabisa kuvaa vest
Melanin deposition matters , dark skin tuna kiwango kikubwa cha melanin kwenye ngozi hivyo hatuna haja ya kuogopa demage inayotokana na mionzi ya jua contrast to caucassians .
I