DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Kuna Lotion nimeandika hapo..Ahsante sana doctor mtoto wamama kizimkazi (kwahiyo hiyo nn nifanye __yan nitumie nn kutibu hili __dawa ama niache kukaa juani tatizo litaisha lenyeww
Au ukienda maduka ya Vipodozi au maduka makubwa ya Pharmacy walio na vipodozi ulizia Hyperpigmentatiom Cream..
Na juani hilo ni given..usikae sana mkuu Fanyia Kazi kivulini..