Naomba msaada dawa gani nitumie kuweka sawa ngozi yangu

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Nimecheka Mkuu!
Lakini kazi kuu ya Daktri na kiapo cha Daktari Kinataka kusaidia Watu bila kuchoka Mkuu..
Ukishakuwa Daktari ni lazma usaidie utake au usitake..

Ni kama tu ukiwa Kiongozi utake usitake lazima upate lawama hata mtu akitapeliwa utasikia "mama samia hafanyi kazi yoyote juzi nimetapeliwa"

Kikubwa Na furaha ya Kila Daktari ni kuona Anahudumia na Kutiba wagonjwa Wengi na kusaidia watu wengi kadri awezavyo ili kupambana na Adui maradhi..
 
Mi mbona nikizirura tu Kko hiyo naipata,kama una lightskjn ni Bora kua na sunscreen Kwa jua Kali kama hivi na kuvaa nguo zinazokava mwili vizuri.....itaisha tu hiyo Hali baada ya siku mbili tatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…