Nenda hospitali .... kapime urine culture sensitivity. Watajua dawa ipi itakutibu illa nenda hospitali sahihi kufanya kipimo hicho. Mfano. Lancet,muhimbili,Regency na Agha Khan. Kipimo kama shs 40,000/= ... tumia majibu hayo kujua dawa ipi itakufaa. Hapo hautapoteza muda wala pesa zaidi.