Naomba msaada jamanii uti sugu inanitesaa

Naomba msaada jamanii uti sugu inanitesaa

Pole sana mkuu! Kama upo dar ama jirani ni PM nikupe namba ya mama mmoja yupo kibaha, hakika week2 nyingi sana mie pia dogo ilimsumbua sana lkn tulipoipata hiyo dawa ndani ya week kwisha na alipoenda kucheki daktari wake yeye mwenyewe akaomba afahamishwe kwa huyo aliyemtibu.
Unaweza kuweka iyo namba mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda hospitali .... kapime urine culture sensitivity. Watajua dawa ipi itakutibu illa nenda hospitali sahihi kufanya kipimo hicho. Mfano. Lancet,muhimbili,Regency na Agha Khan. Kipimo kama shs 40,000/= ... tumia majibu hayo kujua dawa ipi itakufaa. Hapo hautapoteza muda wala pesa zaidi.
 
Back
Top Bottom