lenyu
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 447
- 497
Unaweza kuweka iyo namba mkuuPole sana mkuu! Kama upo dar ama jirani ni PM nikupe namba ya mama mmoja yupo kibaha, hakika week2 nyingi sana mie pia dogo ilimsumbua sana lkn tulipoipata hiyo dawa ndani ya week kwisha na alipoenda kucheki daktari wake yeye mwenyewe akaomba afahamishwe kwa huyo aliyemtibu.
Sent using Jamii Forums mobile app