Naomba msaada jinsi ya kuweka rangi maandishi ya JF

Naomba msaada jinsi ya kuweka rangi maandishi ya JF

Pole sana mkuu....
Hapo penye herufi B afu I then gusa hivyo vialama vyenye doti 3 ...zitatokea alama hizo zilizoanzoa T fupi na ndefu ...sasa gusa hiyo alama ya kirobotatu duara chenye vidoti vinne ndani yake.... Ndo utachagua rangi kabla ya kutype.
 

Attachments

  • Screenshot_20241119-085426_1.jpg
    Screenshot_20241119-085426_1.jpg
    56.5 KB · Views: 4
Back
Top Bottom