samilakadunda
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 1,780
- 355
Kwanza sijui kwa nini walimpatia hiyo ampiclox. Ila kama kuna mucus puani,njia rahisi,salama na isiyokuwa na gharama ni kuweka kinyaa pembeni na kunyonya hizo mucus kwa mdomo wako au mwenzio hadi ziishe.Huenda ikwa ni kwa sababu hiyo ndio maana anaonekana ana mafua.Jaribu kufanya hivyo haraka kisha urudi hapa utuambie,ili tuone namna nyingine ya kukushauri.
Mkuu nimekuwa nikimnyonya mwenyewe kwani kunawakati anapatashida sana,, nashukuru hadi jioni hii amenitia matumaini sana nasikia kelee kwa mbali sana mkuu nitaendelea na zoezi hilo
Mimi ni mwanaume sio mwanamke Redrose20
oops,xrry samilakadunda..ur name sounds lyk KE,lol!
kuwa makini na ilo zoezi usije ukomvuta na ubongo......Nenda hospital kuna oxygen watamuwekea na itakausha mucus zote hizo kama una bima nenda aghakhan
kuwa makini na ilo zoezi usije ukomvuta na ubongo......Nenda hospital kuna oxygen watamuwekea na itakausha mucus zote hizo kama una bima nenda aghakhan
Hauko serious mkuu!
Unaelewa unachosema wewe? Oxygen inakausha mucus?
Anyway,huenda ikwa uliona wakifanya hivyo,lakini napenda ujue tu kuwa hicho ulichoona ni suction machine ambayo kazi yake ni kunyonya hizo mucus,of course,kama anavyofanya kwa mdomo! Hata kama oxygen itahitajika,kitu cha kwanza kitakuwa ni kunyonya kwaza hizo mucus(clearing airway) kisha ndio hiyo oxygen inafuata.
Na mwisho nakushauri ujaribu kupiatia anatomy ya fuvu la kichwa ili ujue kama kuna connection kati ya pua na ubongo,kisha uje ucomment hapa kabla ya kuwatia watu hofu kwa kitu ambacho pengine hukijui! Sawa mkuu?
Umenitisha kaka ubongo? Oops !!!! Nitampeleka kesho ila ana 13days bima yake bado.
Anakutia hofu tu huyo,hakuna kitu kama hicho mkuu.
Kama unaamua kumpeleka hosp. ni vizuri lakini zoezi la kumnyonya usiache kama anabanwa sana. Na hata hospitali watakushauri hivyo hiyo.
Kifupi hakuna uwezekano wa kumnyonya mtu ubongo hata kama utatumia nguvu gani.
Asante kwa kunitia moyo, ubarikiwe
Hauko serious mkuu!
Unaelewa unachosema wewe? Oxygen inakausha mucus?
Anyway,huenda ikwa uliona wakifanya hivyo,lakini napenda ujue tu kuwa hicho ulichoona ni suction machine ambayo kazi yake ni kunyonya hizo mucus,of course,kama anavyofanya kwa mdomo! Hata kama oxygen itahitajika,kitu cha kwanza kitakuwa ni kunyonya kwaza hizo mucus(clearing airway) kisha ndio hiyo oxygen inafuata.
Na mwisho nakushauri ujaribu kupiatia anatomy ya fuvu la kichwa ili ujue kama kuna connection kati ya pua na ubongo,kisha uje ucomment hapa kabla ya kuwatia watu hofu kwa kitu ambacho pengine hukijui! Sawa mkuu?
mungu ni mwema mtoto atapona usijar