samilakadunda
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 1,780
- 355
Ana week 1 na siku 6 , anabanwa sana na mafua hadi inamuwia vigumu kupumua, nilipompeleka hospitali niliambiwa nimpe Ampiclox na otrivine (gouttes nasales). Amemaliza dozi lakini bado, inaonekana kuna mucus ndani ya njia ya upumuaji.
Najiuliza sijui alikunywa maji wakati wa kuzaliwa?
Msaada jamani.
Najiuliza sijui alikunywa maji wakati wa kuzaliwa?
Msaada jamani.