Tumeweka mbon anza kufatilia post moja moja tangu mtu aanze kujiung jf tumetuma sana picha zetuMh... kuna mtu ananiambia pm eti picha zinaweza kutumika kunitrace endapo nitapost mambo yasiyowapendeza wenye nchi, mbona sion mtu yeyote kuweka albamu ya picha humu? au unataka kunichuuza
AkuuuUmesikia kwa nani!? Mimi pekee ndo mwenye details za memba wote. Naitwa Moderator, naweza kukupa burn ya milele! Njoo PM nikupe namba ya utambulisho!!
Umesikia kwa nani? Mimi pekee ndo mwenye details za memba wote wa humu! Naweza kukupa burn ya milele mda wowote! Njoo PM nikupe namba ya utambulisho!!Sugu ndo nani? Si nasikia humu kuna wababa wengine na heshima zao
Kwan dada we ni Mhind au Mwarab? Hiyo picha yako ndo wewe?Tumeweka mbon anza kufatilia post moja moja tangu mtu aanze kujiung jf tumetuma sana picha zetu
MmmmNjoo pm nikuelekeze
Ina maana hayo majina yako matatu yanapatikana google pia?Nisingetishwa ningeyataja hapa halafu mtu aingie hata google aone kama ni kweli au sio kweli lakini naambiwa humu hutakiwi kutaja majina yako halisi labda kifupi au jina la utani
Hahahahahaha kawaida sana.Mi sio mbabe, mi mpole, ila na we jina lako... perperndicular/ Unanikumbusha mambo ya BAM nishasahau mimi
Mi sio mbabe, mi mpole, ila na we jina lako... perperndicular/ Unanikumbusha mambo ya BAM nishasahau mimi
Hebu yataje kwa kirefu hayo majina!Mh makubwa, mi hicho ni kifupi cha majina yangu matatu kumbe ndo maana yake hiyo?