Naomba Msaada Kufundishwa Kutumia Hii Kitu

Wakubwa shikamooni, wenzangu mambo zenu... mi ni memba mpya wa JF, naomba mnisaidie kunielekeza mambo ya muhimu humu ndani ili na mimi nisionekane mshamba... ahsanteni sana
Hapa ndo hupati mtu ng'o tusha stkia[emoji15] [emoji15]
 
Wakubwa shikamooni, wenzangu mambo zenu... mi ni memba mpya wa JF, naomba mnisaidie kunielekeza mambo ya muhimu humu ndani ili na mimi nisionekane mshamba... ahsanteni sana
Cha msingi jua apa si Fasibuku..!!
Unaweza ukajipata umekimbia na kutokomea kusikojulikana kama clock 8..
 
Reactions: e2n
Dick monger kitu gani ulikuwa unaonba kuelekezwa namna ya kutumia???
 
Dogo asili ya jf ukiwa mgeni kuwa mpole na mtiifu ukileta fyoko unazimwa kama moto wa gesi.
HAYA NI KIPI UNATAKA NIKUFUNDISHE?
 
Huyu mwenyeji mbona tupeni jiwe gizani mtaona anavyotoka
 
Wakubwa shikamooni, wenzangu mambo zenu... mi ni memba mpya wa JF, naomba mnisaidie kunielekeza mambo ya muhimu humu ndani ili na mimi nisionekane mshamba... ahsanteni sana
Umejaribu kujificha ila nimeshakugundua na hiyo ID yako fake,naona kuna sehemu unajiquote na kujijibu wewe mwenyewe!! Hii ndio jf acha huo ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…