tekategula
Senior Member
- Mar 27, 2017
- 171
- 96
Hapa ndo hupati mtu ng'o tusha stkia[emoji15] [emoji15]Wakubwa shikamooni, wenzangu mambo zenu... mi ni memba mpya wa JF, naomba mnisaidie kunielekeza mambo ya muhimu humu ndani ili na mimi nisionekane mshamba... ahsanteni sana