Naomba Msaada Kufundishwa Kutumia Hii Kitu

Hivi mods hawawezi kuzuia watu kuwa na ID kibao maana wanatuchosha sasa unakuta unachat na watu Kama wanne hivi huko pm alafu unakuta kumbe ni mmoja sema ana Id 3 anakuchora tu
Hiyo itakia ngumu!!! Ata wakitumia IP address, watu bado tutalog in kwenye tablet, PC, phone
 
Wakubwa shikamooni, wenzangu mambo zenu... mi ni memba mpya wa JF, naomba mnisaidie kunielekeza mambo ya muhimu humu ndani ili na mimi nisionekane mshamba... ahsanteni sana
Ndiyo unajiita dushemonger....jinsia gani wewe........?
 
Huyo ni me.. ngoja tumsikizie
 
Hili hakika ni shoga limetuvamia mods chondechonde tuondolee bwabwa litaharibu vijana humu.
 
Kweli kabisa!!! Jina lake limenishangaza [emoji16][emoji16]
Binti kanishangaza mno, hivi upo? Asee, naona nimepigwa teke kubwa sana mpaka umenitupilia mbali.

Ngoja niwe mpenzi mtazamaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…