MBIIRWA
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 2,634
- 5,373
We sio mgeni Biashara imekuwa ngumu umeona utafute wateja huku kwa kuvutia na jina lako.!
Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo itakia ngumu!!! Ata wakitumia IP address, watu bado tutalog in kwenye tablet, PC, phoneHivi mods hawawezi kuzuia watu kuwa na ID kibao maana wanatuchosha sasa unakuta unachat na watu Kama wanne hivi huko pm alafu unakuta kumbe ni mmoja sema ana Id 3 anakuchora tu
😀 Kwahio wewe mtoto wa King Majuto? 🙂Hahahaha acha kunichekesha. Wa tz
Kama nani jina lake gumu dogo
Ndiyo unajiita dushemonger....jinsia gani wewe........?Wakubwa shikamooni, wenzangu mambo zenu... mi ni memba mpya wa JF, naomba mnisaidie kunielekeza mambo ya muhimu humu ndani ili na mimi nisionekane mshamba... ahsanteni sana
Hahaha achaaa kunizingua. Yaaaan we ni wa kuchapa😀 Kwahio wewe mtoto wa King Majuto? 🙂
Ndio maana hio tabasamu lako limekaa ki princess, Kuna tabasamu nyingi nimeziona lakini lako lina tofauti fulani.
Binti kanishangaza mno, hivi upo? Asee, naona nimepigwa teke kubwa sana mpaka umenitupilia mbali.Kweli kabisa!!! Jina lake limenishangaza [emoji16][emoji16]
Afanaleki... kufa hakuna breki!!!
Hujapigwa teke lolote bana!!!Binti kanishangaza mno, hivi upo? Asee, naona nimepigwa teke kubwa sana mpaka umenitupilia mbali.
Ngoja niwe mpenzi mtazamaji.
Wewe unazo ngapi Paprika.Hiyo itakia ngumu!!! Ata wakitumia IP address, watu bado tutalog in kwenye tablet, PC, phone
Moja!!! Ila yakinishinda ntafungua nyingine kutafuta mume [emoji16][emoji16][emoji16]Wewe unazo ngapi Paprika.
Njoo kunako.Hujapigwa teke lolote bana!!!