Naomba Msaada Kufundishwa Kutumia Hii Kitu

Naomba Msaada Kufundishwa Kutumia Hii Kitu

Mh... kuna mtu ananiambia pm eti picha zinaweza kutumika kunitrace endapo nitapost mambo yasiyowapendeza wenye nchi, mbona sion mtu yeyote kuweka albamu ya picha humu? au unataka kunichuuza
 
Yani kifupi cha majina yako matatu ndio kilete 'Dick monger'??

Acha uongo mkuu
Nisingetishwa ningeyataja hapa halafu mtu aingie hata google aone kama ni kweli au sio kweli lakini naambiwa humu hutakiwi kutaja majina yako halisi labda kifupi au jina la utani
 
Dah..Dogo kwa mwendo wa haraka nenda kabadilishe jina..ni aibu kwa mtoto wa kiume.....labda kama unafanya promo kwa makokroch.....
Mi co mwanaume... hivi jina wanabadilishaje maana mh watu wananisakama
 
Back
Top Bottom