bishankara
Senior Member
- Feb 21, 2012
- 140
- 8
Habr za usiku wapendwa. Naomba kufahamu siku salama kwa msichana ambaye ameingia hedhi tarehe 08.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemjibu vema ila umewahi kujibu kwa kutumia circle ya siku 28. Ikumbukwe kuwa kuna mizunguko ya aina tatu toofauti, kuna mzunguko wa siku 21,28 na 35 sasa sijui huyo msichana wake ana mzunguko wa siku ngapi. Na pia ikumbukwe kuhesabu tunaanza siku ya kwanza mwanamke alipoona siku zake.
Habr za usiku wapendwa. Naomba kufahamu siku salama kwa msichana ambaye ameingia hedhi tarehe 08.
Habr za usiku wapendwa. Naomba kufahamu siku salama kwa msichana ambaye ameingia hedhi tarehe 08.
kama ameingia hedhi tarehe 8 na kama mzunguko wake ni wa siku 28 basi siku salama kwake zitakua ni;
-tarehe 08 hadi tarehe 19 kisha tarehe 26 hadi tarehe ya mzunguko ujao
NB;hapo siku anazobleed ni inclusive japo sio vyema kufanya tendo hilo kipindi akiwa katika hedhi
1.Siku salama ni tarehe 13,14,15,16,17 endapo hedhi yako ni siku tatu mpaka tano awamu ya kwanza.
2.Awamu ya pili ni tarehe 27,28,29,30,"31" 1,2,3,4,na tarehe tano. Hapo kati ya tarehe 5 na tarehe 6 ni hedhi ya mwezi unaofuata, kutegemea na idadi ya siku katika mwezi uliotangulia.
Aljebra hii ni kwa binti mwenye mzunguko wa siku 28. By MSAKI.

Asante mpendwa, lakn sijaelewa vizuri, mbona umetofautiana sana na jamaa mwingine humu ndani?