Gody
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 1,246
- 413
Haswaaaaaaa ndio msingi wa mapacha wasiofanana! Bado hujaelewa tu? Mbona maelezo yako wazi kaka.
nimekupata mkuu!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haswaaaaaaa ndio msingi wa mapacha wasiofanana! Bado hujaelewa tu? Mbona maelezo yako wazi kaka.
Nimekuelewa...... MziziMkavu watu8 naomba msaada...btw ngoja nizame chimbo nitarudi na majibu,sawa?mwezi wa July-27, mwz Augst-27 na mwez sept -27 na ni siku tatu tatu kasoro
mwezi huu kaingia siku 4 lkn siku ya nne ilikuwa damu kidogo sana.
Sijui kama umenielewa.??
Nimekuelewa...... MziziMkavu watu8 naomba msaada...btw ngoja nizame chimbo nitarudi na majibu,sawa?
Sijui namna ya kuweka linkHizi threads za aina hii zipo nyingi tu hapa JF Doc watu wajaribu kufanya searching...wakielewa principle basi itakuwa rahisi kwa mtu yoyote.
Sijui namna ya kuweka link
Haya shemkwe nisikuchoshe,ngoja nifanye namna ya kumsaidia kwa ninavyoelewa!Shemkwe huo mtihani mwingine
Haya shemkwe nisikuchoshe,ngoja nifanye namna ya kumsaidia kwa ninavyoelewa!