Naomba msaada kuhusu hedhi.

Naomba msaada kuhusu hedhi.

mwezi wa July-27, mwz Augst-27 na mwez sept -27 na ni siku tatu tatu kasoro
mwezi huu kaingia siku 4 lkn siku ya nne ilikuwa damu kidogo sana.
Sijui kama umenielewa.??
Nimekuelewa...... MziziMkavu watu8 naomba msaada...btw ngoja nizame chimbo nitarudi na majibu,sawa?
 
Last edited by a moderator:
Nimekuelewa...... MziziMkavu watu8 naomba msaada...btw ngoja nizame chimbo nitarudi na majibu,sawa?

Hizi threads za aina hii zipo nyingi tu hapa JF Doc watu wajaribu kufanya searching...wakielewa principle basi itakuwa rahisi kwa mtu yoyote.
 
Last edited by a moderator:
Hizi threads za aina hii zipo nyingi tu hapa JF Doc watu wajaribu kufanya searching...wakielewa principle basi itakuwa rahisi kwa mtu yoyote.
Sijui namna ya kuweka link
 
najua hesabu tatizo, rahishisha, kuanzia hiyo tar 8 hesabu siku 7 mbele, hapo akimaliza P yake piga, ila siku 7 zifuatazo toa 3 ni free hizo 4 ni hatari, ongeza 3. baada ya hapo ni free mandela awamu ya 2. ila lazima ujue kuwa mwanamke anapitia vipindi vi3 ukivijua rahisi sana, ila ongopa siku ya 14 joto la mwanamke linakuwa juu sana. ukiujua mwili wa mwanamke kibiolojia raha sana.
 
Back
Top Bottom