Masyah Suleikham
New Member
- May 16, 2023
- 1
- 1
😀😅😄😁😂 mpk udsm nao wapo mtaani ila jamaa ww una kaunafik ndani yakoKiko poa nenda kapige shule mana hata wa udsm wapo mtaani hawana ajira.
Chuo kizuri sana wako jirani na Mimi hapa.
1.Taaluma naona Wana waalimu wa kutosha na majengo rafiki sana
2.Michezo nadhani hiki kwa Sasa kwa Tanzania ndio chuo kinachoongoza kwa michezo kwa wanafunzi
3.Afya Wana huduma mule ndani ila wako karibu na zahanati ya goms na kitonka hospital
4.Hostel kwa mule ndani zipo ila pia maeneo yote yanayozunguka chuo zimejaa
5.Usafiri kuja na kutoka chuoni nadhani ni 24hrs hasa ukitumia kituo Cha Mali asili (goms) na mwendo Kasi ndio hiyo inakuja.
6.Ada zao pia ni rafiki sana tena sana
7.starehe na burudani chuo chote kimezungukwa na pubs na migahawa midogo ya chakula na ila TNT imevunjwa kwa Sasa labda uende kule Kumalija
8.Nyumba za ibada zipo ndani ya chuo ni utasali Tani Yako tena kwa uhuru mkubwa(awaruhusu maandamano)
9.wanafunzi wake kwa kweli wengi naona ni watulivu sana hawana mambo mengi ila ni wananukia hadi nje ya chuo ukipita utasikia marashi
10.kwa ujumla ni chuo Bora
Mi sio afisa masoko wala mwanafunzi kuhusu changamoto atakuja kueleza mwingine mi nimeelezea ubora ambao ndio alitaka mleta madaWewe ni afisa masoko wa chuo?haya tupe na changamoto za hapo mana haziwezi kosekana.
Mimi napiga kiut pale, nipo health department..Wewe ni afisa masoko wa chuo?haya tupe na changamoto za hapo mana haziwezi kosekana.
Namba 7.mbona Amani centre hujaitajaMi sio afisa masoko wala mwanafunzi kuhusu changamoto atakuja kueleza mwingine mi nimeelezea ubora ambao ndio alitaka mleta mada
Safi sana mi huwa naona kwa nje TU najua MKo poa endelea kupiga kitabu changamoto ziko koteMimi napiga kiut pale, nipo health department..
Chuo kipo poa Sana ila kwa sisi tunaopiga udaktari pale changamoto nazoziona ni hizi:
1.Dressing code
Kama vyuo vingine vya afya kama kcmc, hua uvaaji ni OFFICIAL, Yani medical student inatakiwa uvae suti, au basi suruali ya kitambaa na shati, tai nk, uvaaji wa kiut ni CASUAL, yaani we vaa tu kivyovyote jeans, chini sandal, jezi nk hii inaleta changamoto hasa wadada unaeza kuta yupo kitovu nje..
2. Ada na matumizi mengine
Ada ya udaktari ni 7.2M pia kuna matumizi mengine kama kununua lab manuals, kitabu Cha kufanya assignment zote etc kila semester andaa 50k ya hayo makolokolo...kwa Ada ya 7.2M inabidi tupewe hivo vitu na chuo, lakini imekua kama biashara Fulani hivi..
Kwa upande wangu hizo tu ndio changamoto, mambo mengine naona yapo super saaana...malecturer wapo wakutosha kutoka nchi mbalimbali....
*Dr Omar Maceo Palacio: kutoka CUBA
*PROF Adesanya; kutoka NIGERIA(fundi wa anatomy na head of department)
*DR Ruth Aquisku Okot; NIGERIA
*DR Ntongwisangu: MB,ChB,PhD-Renal physiologist
*Dr Okot Asi nku-Ekpang- NIGERIA
You are warmly welcomed..[emoji120]
Amani center ni Nini (unaweza kuielezea zaidi)Namba 7.mbona Amani centre hujaitaja
Naomba kujua kuhusu pharmacy wapoje pale mkuu natanguliza shukrani za dhatiMimi napiga kiut pale, nipo health department..
Chuo kipo poa Sana ila kwa sisi tunaopiga udaktari pale changamoto nazoziona ni hizi:
1.Dressing code
Kama vyuo vingine vya afya kama kcmc, hua uvaaji ni OFFICIAL, Yani medical student inatakiwa uvae suti, au basi suruali ya kitambaa na shati, tai nk, uvaaji wa kiut ni CASUAL, yaani we vaa tu kivyovyote jeans, chini sandal, jezi nk hii inaleta changamoto hasa wadada unaeza kuta yupo kitovu nje..
2. Ada na matumizi mengine
Ada ya udaktari ni 7.2M pia kuna matumizi mengine kama kununua lab manuals, kitabu Cha kufanya assignment zote etc kila semester andaa 50k ya hayo makolokolo...kwa Ada ya 7.2M inabidi tupewe hivo vitu na chuo, lakini imekua kama biashara Fulani hivi..
Kwa upande wangu hizo tu ndio changamoto, mambo mengine naona yapo super saaana...malecturer wapo wakutosha kutoka nchi mbalimbali....
*Dr Omar Maceo Palacio: kutoka CUBA
*PROF Adesanya; kutoka NIGERIA(fundi wa anatomy na head of department)
*DR Ruth Aquisku Okot; NIGERIA
*DR Ntongwisangu: MB,ChB,PhD-Renal physiologist
*Dr Okot Asi nku-Ekpang- NIGERIA
You are warmly welcomed..🙏
Ahsante kwa ushauri mkuuHakuna chuo hapo,bora VETA inaheshimika sio KIU,chuo ambacho wanafunzi hawafeli sio chuo
Mi chuo changu kampala nishajiapiza ngoja mwakani ufikeKasome popote mkuu, wa Muhas wenyewe wapo mtaani, hakuna kazi.