Wewe ni afisa masoko wa chuo?haya tupe na changamoto za hapo mana haziwezi kosekana.
Mimi napiga kiut pale, nipo health department..
Chuo kipo poa Sana ila kwa sisi tunaopiga udaktari pale changamoto nazoziona ni hizi:
1.Dressing code
Kama vyuo vingine vya afya kama kcmc, hua uvaaji ni OFFICIAL, Yani medical student inatakiwa uvae suti, au basi suruali ya kitambaa na shati, tai nk, uvaaji wa kiut ni CASUAL, yaani we vaa tu kivyovyote jeans, chini sandal, jezi nk hii inaleta changamoto hasa wadada unaeza kuta yupo kitovu nje..
2. Ada na matumizi mengine
Ada ya udaktari ni 7.2M pia kuna matumizi mengine kama kununua lab manuals, kitabu Cha kufanya assignment zote etc kila semester andaa 50k ya hayo makolokolo...kwa Ada ya 7.2M inabidi tupewe hivo vitu na chuo, lakini imekua kama biashara Fulani hivi..
Kwa upande wangu hizo tu ndio changamoto, mambo mengine naona yapo super saaana...malecturer wapo wakutosha kutoka nchi mbalimbali....
*Dr Omar Maceo Palacio: kutoka CUBA
*PROF Adesanya; kutoka NIGERIA(fundi wa anatomy na head of department)
*DR Ruth Aquisku Okot; NIGERIA
*DR Ntongwisangu: MB,ChB,PhD-Renal physiologist
*Dr Okot Asi nku-Ekpang- NIGERIA
You are warmly welcomed..🙏