mkalusanga
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 369
- 446
Ila Bado hujanijibu je Sio kosa kutengeneza hicho cha Copy??shida ni nini...?
nafikiri kama ni shida inayolazimu sana basi serikali wenyewe ndo watakusaidia!
Hakuna kitambulisho cha hivyo ndugu we kama unataka kuishika serikali sehemu nyeti fanya hivyo!, we ulishaona wapi serikali ikubali kitu kama hicho..?Ila Bado hujanijibu je Sio kosa kutengeneza hicho cha Copy??
Hivyo vitambulisho utafikiri vinatengenezewa sayari ya mars! Maccm maongo sana! Hela sijui yamekula!KItambulisho feki wakikugundua utanyea debe.ilaumu serikali yako ya ccm kwa kuanzisha mradi wa kipumbavu kama huo.vitambulisho vya mpiga kura vinatolewa muda huo huo iweje nida wanatumia madini ya uranium kutengeneza mpaka iwe kero kuvipata.lets fight for katoba mpya
Sasa hivi hakuna copy , kipindi Cha mwanzo kipindi vinaanza ilikuwa ni ruhsa unapata copy mtandaoni , baadae wakasitisha Hilo zoezi.Ila Bado hujanijibu je Sio kosa kutengeneza hicho cha Copy??
Kama ulipata namba siku nyingi nenda NIDA kachukue kitambulishoHabarini familia ya JF;
Poleni na Musiba na Majanga ya Kariakoo.
Naomba kujua Mimi niko na Namba za NIDA Muda mrefu sana ila sina kitambulisho cha Nida
Sasa kinatakiwa haraka kuna mtu Kaniambia Niende tuu kwenye Stationery wanayotoa Copy pia Nitengeneze ila kitakuwa kama Copy ila kina Nembo na kila kitu kama kitambulisho cha Nida Sasa kabla Sijafanya hivyo naomba Nijue Ni Sawa kutengeneza I mean ni Halali Mimi kumiliki cha Hivyo?
Asanteni nasubili Jibu.