Naomba msaada kuhusu uhalali wa nakala ya kitambulisho cha taifa

mkalusanga

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2013
Posts
369
Reaction score
446
Habarini familia ya JF;

Poleni na Musiba na Majanga ya Kariakoo.

Naomba kujua Mimi niko na Namba za NIDA Muda mrefu sana ila sina kitambulisho cha Nida

Sasa kinatakiwa haraka kuna mtu Kaniambia Niende tuu kwenye Stationery wanayotoa Copy pia Nitengeneze ila kitakuwa kama Copy ila kina Nembo na kila kitu kama kitambulisho cha Nida Sasa kabla Sijafanya hivyo naomba Nijue Ni Sawa kutengeneza I mean ni Halali Mimi kumiliki cha Hivyo?

Asanteni nasubili Jibu.
 
shida ni nini...?
nafikiri kama ni shida inayolazimu sana basi serikali wenyewe ndo watakusaidia!
 
Ila Bado hujanijibu je Sio kosa kutengeneza hicho cha Copy??
 
Hakuna kitambulisho cha hivyo ndugu we kama unataka kuishika serikali sehemu nyeti fanya hivyo!, we ulishaona wapi serikali ikubali kitu kama hicho..?
wewe shika maneno ya watu waliovurugwa ukavurugwe!
 
Jaribu kwenda kata uliyojiandikisha unawezakuta kimetoka,,,maana hapa kati walitangaza watu wakachukue vitambulisho vimetoka
 
KItambulisho feki wakikugundua utanyea debe.ilaumu serikali yako ya ccm kwa kuanzisha mradi wa kipumbavu kama huo.vitambulisho vya mpiga kura vinatolewa muda huo huo iweje nida wanatumia madini ya uranium kutengeneza mpaka iwe kero kuvipata.lets fight for katoba mpya
 
Hivyo vitambulisho utafikiri vinatengenezewa sayari ya mars! Maccm maongo sana! Hela sijui yamekula!
 
We mtu wa pili, wa kwanza aliniambia vivyo hivyo, kuwa kapata kitambulisho chake stationary, na ni halali kabisa, anasema wale wamepewa ruhusa ya kufanya hivyo.
 
Nchi hii bado sana ila waambie kuna kahela hapa watakutolea faster

Ova
 
Habarini familia ya JF;

Poleni na Musiba na Majanga ya Kariakoo.

Naomba kujua Mimi niko na Namba za NIDA Muda mrefu sana ila sina kitambulisho cha Nida

Sasa kinatakiwa haraka kuna mtu Kaniambia Niende tuu kwenye Stationery wanayotoa Copy pia Nitengeneze ila kitakuwa kama Copy ila kina Nembo na kila kitu kama kitambulisho cha Nida Sasa kabla Sijafanya hivyo naomba Nijue Ni Sawa kutengeneza I mean ni Halali Mimi kumiliki cha Hivyo?

Asanteni nasubili Jibu.
Kama ulipata namba siku nyingi nenda NIDA kachukue kitambulisho
 
Back
Top Bottom