Naomba Msaada kujua bei za magari haya kwenye showroom za DSM.

Naomba Msaada kujua bei za magari haya kwenye showroom za DSM.

Google Diggers

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2015
Posts
944
Reaction score
1,138
Naomba kusisitiza kwenye showroom zile za maana ukiacha wale wanaofake Kwa kutoa vitu na kuminimise speed reading
1. IST.
2. Vts.
3. Toyota Altezza Gita
4. Carina TI.
5. Volts.
6. Suzuki.
7. Nadia.
8. Balloon 4.
9. Gx100
10. Corona old model.
11.Allexes.
12. Premio old model.
13. Wish.
14. Verosa.
15.Juke

Verosa na altezza zinanikisha sana
 
Ku-minimise speed reading ndio kufanyaje huko mkuu!
 
Hajajibiwa maana kaweka list ndefu sana, gari zote hizo, labda ampate aliyeko yard husika.
Na hajui anataka nini, na bado hayuko clear, imagine kaandika Suzuki lakini hasemi suzuki ipi
Imagine Corona na premio ya zamani.
 
Hiki kizazi cha ajabu sana,kila kitu mtafuniwe,si ufanye survey mwenyewe.kila kitu kina bei kulingana na ilivyotumika na kutunzwa na demand ya soko.
 
Naomba kusisitiza kwenye showroom zile za maana ukiacha wale wanaofake Kwa kutoa vitu na kuminimise speed reading
1. IST.
2. Vts.
3. Toyota Altezza Gita
4. Carina TI.
5. Volts.
6. Suzuki.
7. Nadia.
8. Balloon 4.
9. Gx100
10. Corona old model.
11.Allexes.
12. Premio old model.
13. Wish.
14. Verosa.
15.Juke

Verosa na altezza zinanikisha sana
Yaani unauliza bei ya magari rodha yote hiyo???

Njaa mbaya sana jamani
 
Back
Top Bottom