Google Diggers
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 944
- 1,138
Ku-minimise speed reading ndio kufanyaje huko mkuu!Naomba kusisitiza kwenye showroom zile za maana ukiacha wale wanaofake Kwa kutoa vitu na kuminimise speed reading
1. IST.
2. Vts.
3. Toyota Altezza Gita
4. Carina TI.
5. Volts.
6. Suzuki.
7. Nadia.
8. Balloon 4.
9. Gx100
10. Corona old model.
11.Allexes.
12. Premio old model.
13. Wish.
14. Verosa.
15.Juke
Verosa na altezza zinanikisha sana
Mkuu mim si mtaalamu wa magari. Kuna Ile km ilizitembea gari. Nimemaanisha hapo. Kwamba tangu ianze kutembea umbali. KMKu-minimise speed reading ndio kufanyaje huko mkuu!
Hajajibiwa maana kaweka list ndefu sana, gari zote hizo, labda ampate aliyeko yard husika.Mboja hujajibiwa mkuu
List ni ndefu na bado hayuko clear, hapo kumjibu labda wakisie anachohitaji.Mboja hujajibiwa mkuu
Imagine Corona na premio ya zamani.Hajajibiwa maana kaweka list ndefu sana, gari zote hizo, labda ampate aliyeko yard husika.
Na hajui anataka nini, na bado hayuko clear, imagine kaandika Suzuki lakini hasemi suzuki ipi
Yaani unauliza bei ya magari rodha yote hiyo???Naomba kusisitiza kwenye showroom zile za maana ukiacha wale wanaofake Kwa kutoa vitu na kuminimise speed reading
1. IST.
2. Vts.
3. Toyota Altezza Gita
4. Carina TI.
5. Volts.
6. Suzuki.
7. Nadia.
8. Balloon 4.
9. Gx100
10. Corona old model.
11.Allexes.
12. Premio old model.
13. Wish.
14. Verosa.
15.Juke
Verosa na altezza zinanikisha sana
Nashangaa hizo gari zote anapeleka wapi au anataka nunua kwa Bei ya jumla😂Hajajibiwa maana kaweka list ndefu sana, gari zote hizo, labda ampate aliyeko yard husika.
Na hajui anataka nini, na bado hayuko clear, imagine kaandika Suzuki lakini hasemi suzuki ipi
Tajiri anataka kufungua yard[emoji23]Nashangaa hizo gari zote anapeleka wapi au anataka nunua kwa Bei ya jumla[emoji23]