Messenger RNA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 1,411
- 3,712
Karikoo (Dar es salaam)Sku hizi n nying sana but ukiweza ya kusuka kwa mkono ndoo zuri zaid..cha ajabu husemi upo wap
Mota ya mtambo,nahitaji mota ambayo ni hp kuanzia 20.Mota ya kifaa gani mkuu?
Asante sanaNgoja waje kukupa muongozo...
Wapi wanasuka kwa dar?Sku hizi n nying sana but ukiweza ya kusuka kwa mkono ndoo zuri zaid..cha ajabu husemi upo wap
kiwanda cha UrafikiWapi wanasuka kwa dar?
Auto sokoni .....nkurmah streetMota ya mtambo,nahitaji mota ambayo ni hp kuanzia 20.
Asante mkuukiwanda cha Urafiki
Asante mkuu,hapo napafahamu. je kuna duka lina bei ndogo kuliko hilo?Auto sokoni .....nkurmah street
Hapo uzunguke sasa na kuulizia ....Asante mkuu,hapo napafahamu. je kuna duka lina bei ndogo kuliko hilo?
Asante sanaHapo uzunguke sasa na kuulizia ....
KaribuMota ya mtambo,nahitaji mota ambayo ni hp kuanzia 20.
OkKaribu
Naomba nitext whatsapp
0612456928