flynn05
Member
- Apr 7, 2024
- 63
- 93
Jamani naomba msaada hii naona kama imekaa vibaya sana kwangu, iliwahi kuwa hivi wakati flani, nilikuwa nakipigiwa simu, moja kwa moja anapokea mpenzi niliyekua nae, nikawa naambiwa ila sikuzingatia maana nilijua haiwezekani, ila hili swala limejitokeza tena, mwanamke nilienae sasa hivi nae anasoma meseji zangu na ananitumia.
Tunaishi mbali mbali so inanichanganya inakuaje meseji zangu na kwake zinaenda, na hii imenitokea jana usiku, naomba msaada wakuu.
Tunaishi mbali mbali so inanichanganya inakuaje meseji zangu na kwake zinaenda, na hii imenitokea jana usiku, naomba msaada wakuu.